Yimbo hizi ziligeuzwa toka kitabu cha "Nyimbo za Wokovu". Ziligeuzwa na kundi la watafsiri wa Biblia, zikaimbwa na kwaya ya kanisa la 8ème CEPAC Lemera.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa tutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.