Filamu ya Yesu kwa luga ya kifuliiru

Habari kuhusu maisha ya Yesu inaelezwa zaidi katika vitabu vya injili ya Yesu Kristo kama ilivyoandikwa na Matayo, Marko, Luka, na Yohana.

Filamu hii inahusu maisha ya Yesu tangu kuzaliwa hadi kufa kwake, na yote aliofanya, na mafundisho yake. Inagawanyika kwa sehemu 12. Na shabaha ya filamu hii, ni kutufundisha tupate kuamini kwamba yeye ndie mwana wa Mungu, na kwamba alikuja ili akufe kwa ajili yatu kwa ondoleo la zambi zetu na kutupatanisha tena na Mungu.

Kwa hiyo, na wewe utakapo sikiliza mafundisho ya filamu hii yapate kukugeuza.

JESUS

Jesus constantly surprises and confounds people, from His miraculous birth to His rise from the grave. Follow His life through excerpts from the Book of Luke, all the miracles, the teachings, and the passion.